Recent content by Brune

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukijua tu una uadui au ni mkosoaji mkubwa wa Serikali yoyote duniani tafadhali epuka sana kufanya hili Kosa Kubwa la Kiufundi, kwani Utaondoka tu

    mimba za nje ya mfuko wa uzazi utazijua tu, hama kwa shemeji yako naona kichwan bado umejaa upuuzi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ukijua tu una uadui au ni mkosoaji mkubwa wa Serikali yoyote duniani tafadhali epuka sana kufanya hili Kosa Kubwa la Kiufundi, kwani Utaondoka tu

    umemjibu vizur,, tena mama ake angejua atazaa ili tatizo angetumia kinga
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, kufanya riot kushinikiza kupatikana kwa Mdude itakuwa ni kosa?

    ki katiba ni sahihi ila ukijaribu ukafanikiwa kufikisha ujumbe jiandae kwa lolote .. watu hawataki kukumbushwwa wajibu wao.. watu utu umewatoka ni pesa mbele
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafiti zote za maoni ya wananchi atakayeshinda uchaguzi 2025, zitambeba Samia Suluhu

    ndo hapo anashindana na mtu kamuweka jela uliona wapi?
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafiti zote za maoni ya wananchi atakayeshinda uchaguzi 2025, zitambeba Samia Suluhu

    unaelekea kuchanganyikiwa ilo ulilonalo ni tatizo la afya ya akili stage 4
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafiti zote za maoni ya wananchi atakayeshinda uchaguzi 2025, zitambeba Samia Suluhu

    mama mwenyewe moyon anajua kabisa ki uhalali hashindi na ilo liko wazi wewe hizo takwimu za ajabu umetoa wapi?
  7. B

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    SIE WA SEKTA BINAFSI NSSF ILISHAPITA NA ZETU KITAMBO TUNAAMBIWA TUPEWE KIDOGO KIDOGO NA IYO KIDOGO SASA KAMA UNADAI M.10 UTAPEWA LAKI 3 AU 4
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyekutana na GALAXY LADY wa Telegram!!!!

    kuna mmoja anaitwa AISHA ZUNGU
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Yaongoza Kwa Wasomi wengi Tanzania

    nenda youtube katafute kipindi kinaitwa BAMBA LIVE uangalie uhalisia wa wa zenji ndio uje ukubaliane na hizi takwimu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Madalali ndio chanzo cha mifumuko ya bei kila sekta hususani nyumba za kupanga

    nilitafuta kiwanja cha mil2-3 kahama.. nikampata dalali akaniunganisha na mwenye kiwanja kumbe nae ni dalali .. yaan ndio bosi wake akanambia akishuki m4 nikalia wee nikijua ni mwenye eneo akagoma ,, nikawatema juzi kati eneo limeuzwa kwa m2 uku naona na muuzaji ndio nikamjua,, siku iyo dalali...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA imekata pumzi rasmi kisiasa sasa imebaki na kiki ya kesi na kutafuta public sympathy kwa shari za makusudi za viongozi wao dhidi ya polisi

    mpaka leo mmekosa ushahidi wa uhaini wake mmebaki kumpiga tarehe tu
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

    ukiweza kumsifu mkuu tayari sifa unayo kwa kule cuba lakin
Back
Top Bottom