Recent content by brton

  1. brton

    JamiiForums Tanzania Mmekuwa watu wa kucheza na dola mkijua Rais Samia atakuwa mtu wa kuwafutia kesi!

    mnajinasibu km nchi yenye Demokrasia lakini hakuna hata chaguzi moja iliyofuata haki na uwazi wa Demokrasia
  2. brton

    JamiiForums Tanzania Lissu sio Mhaini, haya mabango yanapaswa kubandikwa nchi nzima, nayapataje na mimi nibandike? Makamanda tubandike

    Mpaka lini serikali ya ccm itatumia nguvu kubwa kukandamiza Demokrasia huku ikijitangaza kuwa Tanzania ni nchi ya Demokrasia na wananchi wake Wana amani tele? wangeondoa tu mfumo wa vyama vingi ieleweke moj[emoji57]
  3. brton

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

    Kwani angeahirisha Safari angeokoa Nini? Rais hakwepo Ila waliokwepo walitekeleza yote yaliyostahili, acheni kumchafua Rais
  4. brton

    JamiiForums Tanzania Kuhusika kwa Jeshi la Polisi vifo vya vijana wawili, tunataka uchunguzi huru

    Pole Sana ndg umeeleza vizuri mno, kiukweli nimejikuta natokwa na machozi, kweli duniani HAKUNA Haki maana waliopewa rungu la kusimamia Haki ndio wavunjifu wakubwa wa Haki[emoji24]
  5. brton

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, Rais ajaye wa IPU na miujiza aliyotendewa na Mungu wake

    Nini sababu ya kuweka namba za cm!
  6. brton

    JamiiForums Tanzania Samia Complex Kujengwa Ndani ya Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Kama Nani? Kwamba tuwape HESHIMA waliokufa? Ni haki yake mama apewe maua yake angali hai
  7. brton

    JamiiForums Tanzania Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

    Huyo kapendelewa kwanza Hana sifa za kuwa msanii, msanii gani Hana hata tafsida kwenye wimbo wake? Ajifunze kwa roma
  8. brton

    JamiiForums Tanzania Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

    Songi hujaliona hapo juu? Mbn kaweka gusa attachment
  9. brton

    JamiiForums Tanzania Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

    Mimi si CCM Wala chadema, hili niliweke wazi...Ila nikiwekewa CCM na andazi ntachagua andazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. brton

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yawagusa Watanzania, apongezwa na kuungwa mkono kila Kona

    Uzuri umekumbuka kuweka namba za simu, Basi hongera Sana chawa
  11. brton

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana imani kubwa sana na Rais Samia

    Uzuri umekumbuka kuweka namba za simu, ikitokea fursa watakupigia maana so kwa kujipendekeza huko Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  12. brton

    JamiiForums Tanzania Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

    Maisha magumu mno bado tunadaiwa kuchangia mwenge inakera mno
  13. brton

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa mmeathiriwa na utumwa - mtatumika sana

    Huna akili Wala huna hoja kifupi unabwabwaja! Nikuachie tu swali dogo, je, Ni wawekezaji na watoa misaada wangapi wanaoipa tz pesa ambazo toka Uhuru tunasikiaga DENI LA TAIFA je unajua mikataba iliyopo? Vita dhidi ya ushoga inatakiwa ipigwe kuanzia individual level lakini sauti ya mwisho Ni...
Back
Top Bottom