Recent content by BrotherAbdul

  1. BrotherAbdul

    Jitibu pumu kupitia tibambadala

    Pamoja Pamoja waƙuu
  2. BrotherAbdul

    Jitibu pumu kupitia tibambadala

    ) KUPITIA TIBAMBADALA Pumu au asthma ni katika magonjwa hatari ambayo tiba sahihi kwa wengi imekuwa ni kitendawili, lakini lishe mbadala ni jibu lake, kutokana na tafiti za wataalamu na wadau mbalimbali, tafiti ambazo natija yake ni kupatikana kwa dawa muafaka za ugonjwa huu kupitia vyakula...
  3. BrotherAbdul

    Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    YAWE MEUPE NA MUONEKANO BOMBA Meno ni kiungo cha ajabu sana ambapo kinapokua na muonekano mzuri hukufanya uwe na furaha na tabasamu zito mbele ya wenziwako. Na kinyume chake mtu hukosa kujiamini mbele za watu na tabasamu la dhati hutoweka. Hivyo nimeona ipo haja ya kukuainishia kwa mukhtasari...
  4. BrotherAbdul

    Msaada:Tatizo la meno kapoteza rangi yake

    Tafuna karoti kwa wingi, tumia maganda ya ndizi za kuiva (sugua meno yako na maganda hayo kabla ya kipiga mswaki, yana kalsiam, magniziam na manganizi ambazo hung'arisha meno, kwa maelezo zaidi tembelea dhahaabu. Blogspot. Com
  5. BrotherAbdul

    Je wajua faida uzipatazo kwa kula tende

    Tende (dates) kwa lugha ya kitaalamu (botanical name huitwa Phoenix dactiylifera, wahindi huita khajoor. Ni tunda lenye faida kedekede kiafya, tende zimetunukiwa viambata muhimu kama dietary fibers, protini, carbohydrates, vitamins A, B, na C, madini kama chuma, kalsiam, magniziam, manganizi na...
Back
Top Bottom