BrotherAbdul
Member
- Apr 21, 2017
- 9
- 26
Tende (dates) kwa lugha ya kitaalamu (botanical name huitwa Phoenix dactiylifera, wahindi huita khajoor. Ni tunda lenye faida kedekede kiafya, tende zimetunukiwa viambata muhimu kama dietary fibers, protini, carbohydrates, vitamins A, B, na C, madini kama chuma, kalsiam, magniziam, manganizi na kopa.
Je wajua faida za kula tende (dates) kiafya
Je wajua faida za kula tende (dates) kiafya