Hueleweki..andika vizuri
Hueleweki rudi kulala kwanza ukiamka uandike tena
Tafuna karoti kwa wingi, tumia maganda ya ndizi za kuiva (sugua meno yako na maganda hayo kabla ya kipiga mswaki, yana kalsiam, magniziam na manganizi ambazo hung'arisha meno, kwa maelezo zaidi tembelea dhahaabu. Blogspot. ComHabari wana jamii...
Nina tatizo la meno yangu kupoteza rangi yake ya weupe japo nimekuwa nikisafisha kinywa(kupiga mswaki) kwa zaidi ya mara 3 kwa siku.
Nifanye nini ili kurudisha weupe wake?
Asante mkuuMkuu waone wataalam wa meno na kinywa, watakupa msaada