Soma vizuri maelezo...
"Nimesema ni ile hali ya mwanafunzi kujiita/kujichagulia... Kusoma masomo ya science au arts haikunyimi nafasi ya wewe mwenyewe binafsi kujiita PCM/PCB /HGL ili hali bado upo O'level, na unaweza ukaja ukascore kwenye hayo hayo masomo uliyochagua!
Mi binafsi nimesoma PCB...
Hapa utakuwa umechanganya , ule ufaulu wa kuingia f4 na f6...
Kuna baadhi ya shule zilikuwa na specifications za masomo kuanzia darasa la tatu... Na unakuta mtu anajiita kabisa yeye ni Pcb au pcm or whatever... Ilihali bado yupo O'level..[emoji848]
Alafu kabla ya Ally Mpemba kufahamiana na MASTER , Nani aliekuwa anamsaidia pamoja na kumstiri Maya ,pindi Ally Mpemba alipikuwa anasafiri? Au alikuwa hapati safari??? Nikipata jibu la hili swali itapendeza... Kwako studio...
Kuna vitu nimeanza kuviamini kwa wale mnaosema jamaa anacopy na kupaste...
1. Scenario ya ugonjwa wa Babu ,
Iko hivi, babu yangu alishawahi kuugua ugonjwa Kama huo na aliwekewa mpira hivo hivo...
Huwezi amini alikuwa na ukorofi uliopitiliza.. saa zingine Kama hivo anajisaidia kitandani , yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.