Hakika, ninashukuru kwa feedback yako. Asante kwa kung'arisha zaidi. Pamoja tunaweza fikia malengo bora kwa ajili ya maamuzi mazuri kwa Tanzania tuitakayo.
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na vipaji vingi, kuanzia sanaa hadi sayansi. Vijana wake wanajulikana kwa ubunifu na uwezo wa kipekee katika maeneo mbalimbali. Hata hivyo, changamoto za kimaisha na ukosefu wa rasilimali mara nyingi huwafanya vijana hawa kushindwa kufikia ndoto zao. Ushirikiano...
Baada ya mafanikio makubwa ya commando kwenye chati za nchi tofauti duniani na kutumiwa kwenye video zinazohusiaha watu maarufu akiwemo DJ Khaked, remix ya commando kwa jina la mapopo imetoka. Mapopo ni mwendelezo wa series ya Commando ambayo inamkutanisha Mavokali na Rayvanny Chui.
Mavokali...
“The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I Miss.
I Miss ni wimbo namba 10 alioshirikishwa King Kiba, Alikiba na Marioo wameutendea haki mdundo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.