Recent content by Brother Kaka

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

    Shemeji yenu NKWABI
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

    Hii picha ni NKWABI akiwa kashika msalaba ktk mazishi ya baba yake mzazi mzee FUMBUKA NG'WANAKILALA. Inamaa na kijana NKWABI kabadili dili kwa ajili ya kumuoa huyo bibi au basi!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

    Yaani mimi nawaza nani alianza kumtongoza mwenzake...Jamani wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana...Sijui Dr alianzaje kukatongoza kale kabinti🤔🤔
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

    Dr. Hassan Abbas (Katibu Mkuu wizara ya Habari) afunga ndoa na binti wa Clouds fm (Mammy Baby).
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Kwa hiyo huyo CDF ataweza kumdhibiti WILLIAM RUTO!!???
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Naona mama Samia kaanza tena kuleta mkeka usiku wa manane. IGP kutoka kanda ile ile
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Mama yupo Marekani. Na huyo jamaa amefanya kazi USAID....Ukiunganisha doti utajua hicho kimemo cha uteuzi kimetoka wapi....
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

    Ukisoma CV ya Maharage Chande utagundua kabisa hilo jina limetoka msoga. Hata mzee Omari Issa na bodi nzima ni uteuzi kutoka msoga..
  9. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

    R.I.P Elias. Nafasi ya mama kumtafuta mzanzibari aongoze wizara ya majeshi yetu....
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

    Yaani anajiuzulu kabla ya kula kiapo. !!?? Tayari aneleta hasara ya kufanya uchaguzi kwa mara nyingine tena.
  11. B

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Jamani mmeshaambiwa kazi iendeleeee.. 1. Familia ya NNAUYE 2. Familia ya Kijazi 3. Familia ya Michuzi 4. Familia ya Laay 5. Familia ya Gama 6. Familia ya Mavura 7. Familia ya Zelote Stephen 8. 9. 10. NB: Ikulu ya Magogoni imepunguza umakini kwenye kukagua mikeka kabla kutolewa. (à) Lutengano...
  12. B

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

    Mama anakurupuka sana. Na pale Ikulu bado hawajakaa sawa. Yaani mama anateua RAS mtu mwenye darasa la 12 kweli!!? Wanaomchomekea vimemo ndio wanampotosha mama. Inapaswa afanye individual vetting kabla ya kufanya uteuzi..
  13. B

    JamiiForums Tanzania JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    Kwa yoyote aliyepita jeshini anafahamu kuwa kosa la KUGOMA AU KUANDAMANA jeshini ni KOSA KUBWA. Ni UASI. Na kila siku tunawaambia kwamba mafunzo ya JKT ni ya kujitolea na sio sehemu ya ajira. Na kwa taarifa yenu vijana waliotumikia jkt na kurudi mtaani baada ya kumaliza muda wao ni wengi zaidi...
Back
Top Bottom