Recent content by Brother Jof

  1. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

    Bado .nichek dm tuongee
  2. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

    Nicheck dm namba yako nkupigie
  3. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

    Nimeshajibu hapo juu mtu ambaye yuko serious anahitaji tufanye biashara atanichek DM nimuelezee kiundani afike aone tukubaliane akiwa anaiona ofisi
  4. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

    Nimeweka dokezo ,Maelezo ni mengi ndio maana nimesema kwa alie na uhitaji anicheck dm nimpe full details. Kuna documents zote ila kila mtu ana bidhaa zake hapo dukani na tunachanga rent na furniture na tax
  5. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

    Yenye specifications gani mkuu
  6. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

    Sisi wote sio wakaaji sana ,nayeye pia ana ofisi nyingine
  7. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara Tabora kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2.5

    Njoo Kariakoo Dar nikufaulishie Laptops na phone accessories
  8. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

    Habar wakuu, Tafadhari rejea kichwa hapo juu. Baada ya kukaa benchi mda kidogo bila ajira niliamua kujichanga mm na rafiki yangu kufungua biashara ya laptops za vifaa vya simu, Mungu akasaidia baada ya siku chache tena nimepata kazi sehemu yenye mkataba mzuri hivyo nafaulisha share zangu za...
  9. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Mabaharia! Umeona manzi umeizimia! Kimwonekano unaona kuimudu ni mziki mnene! Kuweka heshima ya baharia unafanyaje?

    Wanawake wa namna hiyo huwa wanapokea DMs nyingi sana hivyo ni ngumu sana kukujibu na huna hakufaham personally au uwe maarufu kuzidi yeye. Si ajabu huwa anapokwa DM 100 kila siku
  10. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki yangu Hunter DEC na eneo la carwash

    Upo. Nakuchek tuzungumze
  11. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki yangu Hunter DEC na eneo la carwash

    Habari wakuu. Tafadhari rejea kichwa cha mada. Ninauza pikipiki yangu niliyokua natumia kwenda kazini yenye usajiri namba DEC bei Tsh 1,250,000 iko katika hali nzuri sana haijaguswa engine kabisa Pia nina eneo langu la carwash lililo eneo potential ilibaki miezi mitatu ya kodi 2500per day, Kuna...
  12. Brother Jof

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko la wanawake kuwa wakavu kupitiliza?

    Aisee nimekaa kiti ch mbele kabisa nijifunze. Hili swali mimi pia nimekua nikijiuliza sana kwa mrefu bila majibu
  13. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Hahaha idea imeanza vzuri sana umekuja kuharibu hapo mwishoni[emoji2][emoji2][emoji2]
  14. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Shukran mkuu
  15. Brother Jof

    JamiiForums Tanzania Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Natamani sana kupata rafiki anaejua kilimo kiundani na anefanya kilimo biashara ili nijifunze kwa mifano dhahiri baadae na mimi nifanye kilimo kisasa cheje tija
Back
Top Bottom