Recent content by Bross jr

  1. B

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    kule ni hollywood wale ni wasanii na hapa hatujadili wasanii tuna jadili anacho kifanya lema: hakuna jimbo,nchi yeyote duniani ambayo inachagua viongozi wake ili waje kujitafutia umaarufu unless anakua amewafanyia wananchi wake kazi waliyo mtuma kuifanya.lakini ukijaribu kumuangalia lema...
  2. B

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    wewe ndo una akili za kitoto na kipumbavu we unafikiri anacho kifanya LEMA kina endana na alichotumwa kufanya na wananchi wake ona sasa Chuo cha IAA kimefungwa kwa sababu ya itikadi zake za maandamano. Hao wanafunzi wataenda wapi endapo watafukuzwa chuo?.atawatafutia chuo awalipie ada ili...
  3. B

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Tar 7 hadi 9 mwezi wa 2 ndo tarehe ambazo unatakiwa kuwa active all 2012 candidates!
Back
Top Bottom