Recent content by brooo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    habar wana jf hem naomba ushauri wenu,ni jambo gani hasa la awali kumuashiria au kumuonesha mtu(awe m/mke au m/mme) ambae umemzimikia ili aweze kubrainstorm kama unampenda
  2. B

    JamiiForums Tanzania QN: What are the political future of Africa?

    How i can predict the future? What are the political future of Africa?
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unataka mwanamke/msichana akupende fanya haya

    tunaweza
  4. B

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu research

    kiukweli mdau naweza kusema kwamba bado chuo changu hakijanifundisha the way ambavyo research zinafanya kwa sababu format ya chuo chetu ni kwamba course hio inafundishwa mwaka wa tatu semister ya kwanza, na ahata hio research yenyewe inafanya mwaka wa tatu ila,sisi baada ya kuwaona wenzetu wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu research

    asante sana kwa kunifumbua macho mzeeee
  6. B

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu research

    Habar zenu wadau Mimi ni mwanafunzi nasoma Zanzibar University, mwaka wa pili 1st degree katika combination ya biology chemistry (EDUCATION) na hiki kipindi tulichonacho tumekabiliwa na ufanyaji wa research hivyo naomba msaada wenu kuhusiana na procedures zote za kufuata kuanzia tangu kwenye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wamependeza

    they look so goooooooooooooooooooooooooooooodd
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer

    Hapana,ni kwamba mimi ni mgeni kuhusu matumizi ya computer hata yale ya kawaida kama vile microsoft words and exel,hivyo nilikua naomba msaada kama humu jf naweza kupata japo kama video zinazohusu kufundisha hizo course
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer

    asante sana mkuu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer

    ndio kwanza nataka kuanza mkuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer

    Naomba kufaham vipi naweza kupata mafunzo ya computer humu jf
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ana nguvu kuliko mwanaume

    hahahahaaaaaaaa
Back
Top Bottom