Recent content by bronchitis

  1. B

    JamiiForums Tanzania MVUMI COTC: Wanaofahamu kuhusu ada zao

    1) ANATOMY AND PHYSIOLOGY 2) PATHOLOGY 3) MICROBIOLOGY AND ENTOMOLOGY 4) ENVIRNMENTAL HEALTH 5) COMMUNICATION SKILLS AND cOUNCELLING 6) COMPUTER Umechaguliwa chuo gani Kijana
  2. B

    JamiiForums Tanzania MVUMI COTC: Wanaofahamu kuhusu ada zao

    mi niko nasoma mvumi cotc ada haizidi 2,5...Karibu sana katika chuo bora kabisa kitaaluma,,,onyo Kama unaona kichwa chako hakiko vizuri tafuta vyuo vingine ukasome mapema maana Shule ya pale sio mchezo unaweza aga mashindano mapema..karibuni sana Mvumi cotc vijana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    certificate na diploma masomo ndo hayohayo kitabu wanachosoma watu wa diploma ndo hichohicho wanachosoma watu wa cheti. umechaguliwa chuo gani kijana?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    karibuni sana ndugu zangu...kwa wale wa clinical medicine first semister mtakula kitabu cha Anatomy na physilogy hii ngoma sio mchezo ikiwa umechaguluwa Shule ngumu na mkipata mwalimu complicater wa hili somo nishida lakini anatomy first semister sio taiti ukilinganisha na ile...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mh! Unauhakika na unachokisema
Back
Top Bottom