Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda.
Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu.
Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa walimwengu.
Natanguliza shukrani.
Freedom is coming, No Reform, No Election.
Kidumu chama Cha...
Ndugu zangu Mimi kijana wenu wa hapa jukwaani. Nina shida ya 10K nakurudishia 20K jioni ya Leo.
Kuna mistake Moja nimefanya nimeibiwa Kila kitu.
Nimeamka na simu tu na bundle.
TIGO 0710782874 (Brown Nyanza)
Natanguliza shukrani.
Sawa mkuu so mtu kama MO ana approximately 2.2 Billion USD. Mbona kwenye Ile Mo cola hajaweka picha yake ? Mimi nahisi Kuna kitu hapa Cha kueleweshana mkuu
Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana...
Amani iwe nanyi!
Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate)
Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
Tapika tuu mkuu, sasa mbona hizo ni ndogo tu! Kwa strategia mnazotumia mtapiga kelele mpaka mwisho wa Dunia. Mkibadilisha strategia at least baada tu ya kipindi kifupi kijacho mtafanikiwa.
Narudia tena kwa mbinu mnazotumia CCM itatawala milele.
La hasha, sijawahi kusikia kongamano kubwa la vijana na fursa za maendleo likizunguka nchi mzima na kufadhiliwa na taasisi kubwa za kifenda ndani na nje ya nchi lililoandaliwa na CDM.
Maana yangu, Ikifika muda wa siasa ninaunga mkono hoja kwamba ihubiriwe siasa tena kwa matendo ila uchaguzi...
Kwa vijana wa kileo:
Licha ya kutumia nguvu nyingi juu ya kutafuta haki, nakushauri jitengeneze Kwanza kiuchumi ukifuatilia baadhi ya Maisha binafsi ya viongozi wenu utaona Kuna kitu hakipo sawa.
NB: Najua wakereketwa mtatoa povu sana ila habari ndio Hyo. Kumbuka pia Taita amemaliza kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.