Recent content by British SAS

  1. B

    Kocha Zinedine Zidane ajiuzulu kuifundisha Klabu ya Real Madrid

    Ikiwa zimepita Siku tano taangu real Madrid Watwae Ubingwa wa UEFA Aliyekua Kocha/Mwalimu wa Timu huyo Zinedine Zidane ameikacha Klabu ya Real Madrid. For Sukuma Viewers. Zinedine Zidane says he is stepping down as Real Madrid boss, five days after leading them to a third straight Champions...
  2. B

    Accounts assitant

    Umejuaje kuwa wewe ni Muaminifu?
  3. B

    Naombeni msaada wenu kuhusu hili linamlomtokea wangu

    Nitaamije na unatumia ID Fake? Gynaecology ni elimu inayohusu uzazi wa mwanamke.
  4. B

    Naombeni msaada wenu kuhusu hili linamlomtokea wangu

    Hakuna gynaecologist wa wanaume Dada!
  5. B

    Napenda kufahamu kazi ya matunda ya tende kwa mwanaume

    Kwanini ule usivyovijua kula Maembe, ndizi,nanasi, Matikiti acha kula matunda usiyoyajua
  6. B

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    Duuh kisa TRA? Nyinyi makakapoa Give us a break mi binafsi ndo kwanza naelekea birthday ya miaka 24 sasa kunilinganisha na Wewe Mzee Si sahihi. Kiufupi Mmeshashindwa maisha jukwaa la Uchumi na Biashara hamuonekani kazi Kuangalia Matangazo ya Ajira humu. Miaka Inasogea ni bora hata uniulize...
  7. B

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    UN ya Nini mzee inaweza kuizidi TRA kwa Title hapa Bongo hayo Ma UN si mnayajua Wasomi tuu Mtaani hata watoto TRA wanaifahamu.
  8. B

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    Hongera pia Afisa Sema Sijakutafuta Pale HQ watu wana Jina na Ofisi nzuri jamani. Hata mshahara ukiwa Sh. 380,000 Niko tayari Kufanya Kazi TRA ha!ha!.
  9. B

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    HAYA NDIYO YALIYOSEMWA. -Dada Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alianza Kuwapongeza vijana wote wenye Uwezo wa Hali ya Juu waliweza Kufaulu saili zote. -Mpaka Sasa Walioripoti hawajafika 400 -Wanasubiri Siku 14 zipite ndipo wawaite kwa kupigiwa Simu ama Email -Sehemu ya Kukutania...
  10. B

    PSPF wamejuaje kuwa Nimelamba Ajira naona SMS zao wananitumia wakinishawishi nijiunge nao.

    Mkuu pole sanaa uchungu unaosikia hakika Mwenyezi Mungu atakuletea unafuu.
  11. B

    Sekretarieti ya Ajira Nasubiri Majina ya kupangiwa kazi TRA Niweze Kulinganisha na Picha za Majina mliokua mmebandikwa.

    Mkuu Nilikwarua hii Kitu na Nikajiridhisha pasipo na Shaka Mchakato ulikua huru na Wa Haki.
Back
Top Bottom