Noah za Arusha to N
amanga zimekuwa na changamoto mbalimbali na hazifuatiliwi na vyombo husika. mojawapo ya changamoto hizo ni:-
-watu kubanana sana
-kubadilisha nauli wanavyojisikia(mbali kabisa na nauli iliyopangwa ya tsh 7,000 kwa noah na 5000 kwa hiace)
-kauli mbovu na ubabe kwa wateja...
SIMULIZI FUPI: NDOTO YA DANIEL
MWANDISHI: MOSSES MLAY
Siku moja Daniel alipata safari ya kikazi ikiwa ni siku mbili tu kabla ya shughuli maalum ya washenga kuja nyumbani kwaajili ya kumposa dada yake, alikuwa na taarifa ya ugeni huo na ilikuwa na umuhimu mkubwa wa yeye kuwepo. Katika shghuli...
Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ni uwanja wa michezo uliopo katika jiji la Arusha
Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka)na shughuli nyingine mbalimbali za kitaifa. mchezo wa kwanza wa Futboli ya Kimarekani nchini Tanzania ulionyeshwa katika...
Hii habari kwa upande wng sijaielewa,si mara ya kwanza kusikia habari kama hii kwa ndugu zetu wahadzabe ila huwa najiuliza ulazima na umuhimu wa kufanya hivyo upo wapi na ulizingqtia hii ni jamii ya wawindaji.naomba anayeelewa hii issue vzr atueleweshe tafadhali.
Habari wana jamii..
Kwa ufupi tu ningependa tuongelee hii changamoto ambayo wengi pia waaifahamu na wanajua inaathiri vp jamii.
Tangu hapo mwanzo jamii imekuwa ikibadilika kizazi hata kizazi katika namna tofauti kulingana na nyakati nanamna ya kuishi katika nyakati husika. Kubadilika kwa vizazi...
Sasa watu wanafanya siasa kwa namna sahihi kulingana na maana yake,ni watu wachache kiasi gani wenye uelewa wa hili jambo siasa,kuna njia nyingine ya kufanya maamuzi kwenye taifa ukitoa siasa?
Kwenye kukua kwangu, hili neno Siasa ni neno la kawaida maana nalisikia mara kwa mara. Mfano:
Chama cha siasa. Mwana siasa...
Ila ukweli sijui maana yake. Maana hata wakati mwingine ni neno la heshima, na wakati mwingine ni neno la kuvunja heshima.
Ukiongea uongo, unaitwa mwanasiasa. Ukitoa...
Usiandike post kwa hasira,hapo watu wanaona hasira yako badala ya kuona unachotaka kuwafundisha. Hiyo mbeya iwe halmashauri ya mji mdogo kwa kipi? We unawajua watu wa mbeya kwa kiasi gani? Idadi ya watu waliofika kwenye tamasha haifikii hata idadi ya watu wanaokaa mbalizi,mbeya ina wilaya ngapi...
Kuna baadhi ya michezo tumeiweka kando sana ila inaweza kutupeleka mbali pia,uwekezaji katika michezo umeegemea upande mmoja sana na nchi hii inavipaji vya watu wengi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.