Habari naomba kuuliza hivi short course gani itakayoniwezesha kujifunza kuhusu network. I mean computer network.
Na inatolewa wapi.
Note: sikusoma IT but Niko interested na mambo ya computer network.
Nimesibitisha kuwa hakuna kipya chini ya jua. Nilikua nawaza same idea kwann serekali Kama in nia wa yasomi wajiajiri isitengeneze mazingira ya kumpatia kiasi flan muhitimi ili akaanzia maisha Kama mtaji wa kujiajiri. Halaf deni ilo liuganishwe kwenye mkopo wa kosomea. Hi ingesaidia kusolve...
Kuwa na wazo la biashara ni hatua moja kubwa nangumu sana lakini hatua nyengine yenye inayowashinda wengi especially wasomi na waliozowea kuajiriwa ni niile ya start up yaani kuanzisha . Hiki huwa nikipindi kigumu sana kwenye biashara kwa maana biashara inapoanza huwa na hasara au faida ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.