Mmmh Maisha baada ya kifo..? Kwani mtu akifa kuna Maisha mengine yanaendelea? Labda mimi mshamba ebu nisubiri comments za wadau wengine labda watajitokeza na wadau waliowai kufa wakafufuka watuambie ni maisha gani Yapo baada ya kufa
Nyoka hatari zaidi ni
KOBOKO au Black Mamba.
hupatikana katika sehemu za Mashariki na Kusini mwa Afrika huishi katika Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu.
Nyoka huyu akitaka kufanya shambulio hutanua kinywa chake na shingo yake na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa linatoa upepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.