Recent content by bright bright

  1. B

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Jamaa ajichinja baada ya mpenzi wake kuchukuliwa na mwanaume mwingine

    Uwezo wake wa kufikiri na kuchukua maamuzi ulikomea hapo, kifupi IQ yake ni ndogo sana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokuwa wanakula Pizza Mgahawa wa Uchumi Supermarket

    Wanaume wa dar mna shida sana, ndo maana hamuwezi kazi mmekalia utapeli tu, kuchonga vyeti feki, kuuza cheki feki na vitu vyote feki. Pizza pizaa pizza, mmekuwa wazungu nyie? Kazi kuiga tu, hata siku mkimuona mzungu anakula mavi, na nyie mtakula tu kwa kuiga. Pumbavu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, wajua?

    Mapanga boy au?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujiondoa kwenye adha ya sms za kamata mpunga za voda

    Afadhali Mkuu ilikuwa kero kubwa sana kwangu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Trump: Hillary Clinton anatumia madawa ya kulevya

    Nadra sana kumkuta Tajiri wa kimarekani mwenye busara kama Bill Gate.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli tangu aingie madarakani November 5-2015!

    Kabla ya kuapishwa na baada ya kuapishwa ulikuwa wapi?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Ya mwaka gani, tulioko mikoani tutapataje?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli tangu aingie madarakani November 5-2015!

    Kwani hamjui mpaka tuorodheshe? Mafanikio ni mengi na makubwa kabisa hatuna haja ya kuorodhesha.
Back
Top Bottom