Recent content by briellebright

  1. B

    Nilikupenda sana...

    Pole sana mwaya..... I thought it's a joke lakini kidogo naanza kuamini. Kama kweli unachosema ni kweli Mungu akusaidie umsamehe bure na umuombee huku ukimpa muda labda atajirekebisha na ikiwezekana tafuta muda mtoe out then mzungumze juu ya mahusiano yenu kama wanandoa yawezekana kuna jambo...
  2. B

    Je ni malezi mabovu au ni ukosefu wa adabu tuuu?

    kwani wanawake walikukosea nini mkuu?!!! maana kwa maelezo yako haya ni dhahiri kuna jambo walikutenda
  3. B

    alichofanya huyu jamaa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    Ha ha ha haa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  4. B

    huwa nikichoka nafanya hiviiiiii............

    Ha ha ha haaa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  5. B

    Nakuomba uchukue time kuangalia hii picha hlf unipe ushauri.

    Pole sana Wa kusoma. Je kilitokea baada ya kujing'ata au kilikuja tuu?? Kama ni baada ya kujing'ata huwa vinapona vyenyewe, vinginevyo muone daktari Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  6. B

    nikajitambulishe kwao

    Mmmh!! Hii kali ya mwaka 3weeks halafu ukajitambukishe!! Huo ni muda mfupi sana kufahamiana kaanaye chini mwelimishe kwa upendo atakuelewa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. B

    Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Kwani mkuu mlipeana namba za simu kwa dhumuni lipi? Nifahamu hilo kwanza Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. B

    Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    Pole sana kwa msiba huu mzito, Mungu akutie nguvu wewe, familia yako na kila aliyeguswa na msiba huu katika kipindi hiki kigumu Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. B

    Huyu kwa Kiswahili anaitwaje?

    Paka pori Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom