Recent content by Breezyman

  1. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kiafya wa tatizo hili la kuwashwa

    Polee aisee
  2. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Just sent an email to their address from ajira.go.tz... elezea subject ya email yako na elezea kwa ndani ni cheti gani wakuondoelee. Unaweza ukatazama picha yangu kuona nilivyo tuma ombi.
  3. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    Sioni haja ya kuendelea kuuliza lini wameanza ikiwa sisi hatujui na shida ipo kwetu hatuna desturi ya kusoma mabadiriko kwa maagizo ya muombaji kazi. Hii issue ipo kitambo tu sema hakuwa waniitilia mkazo. Ni zaidi ya miaka miwili ilio pita hili agizo lipo kwenye dashboard na linawekwa kwenye...
  4. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    Hapana kwasababu hata mimi nilishawahi kufanya interview bila kucertify mara tatu. Ila kwasasa ni sheria inatumika kuchuja watu, so its up to you to follow the instructions or getting failed.
  5. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    Naomba tuwe wafatiliaje wa maagizo ya muhimu kuyafanya wakati wa kuomba ajira. Sekreti ya ajira inatoa muongozo kila tangazo la ajira linapo tangazwa kupitia website yao ya (www.ajira.go.tz). Hakikisha unadownload TANGAZO LA AJIRA lenye format ya pdf, kisha unasoma ukurasa wa mwishoni mwishoni...
  6. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    Guys msiwe mnajibu thread kwa mihemko bila kufanya uhahikiki wa mawazo yenu. Tazama akaunti yangu sehemu hii ya majibu ya maombi ya kazi.
  7. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    Ngoja niwatumie reference.
  8. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    Yes... this time hauto weza kushiriki mchujo wa ajira portal bila ku certify vyeti.
  9. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Kuna usemi wanasemaga "Watashindana lakini hawata shinda" hii ndio hali ya kuitwa na utumishi nafasi moja waombaji elfu moja.
  10. Breezyman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    NOTE: Kweli umuweka mtu huru
  11. Breezyman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hili swali mbona Jokajeusi alishalifundisha kwenye threads za zaman
  12. Breezyman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Naona wewe unachanganya, bikra huwa hairudi kwa kuzaliwa mara ya pili... Hili jambo sio la imani ni jambo la nadharia.
  13. Breezyman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Umeambiwa unaruhusiwa kumkataa mwanaume asikuoe endapo haja kutoa bikra tu. Koz bikra inayo elezwa hapa anayo mwamamke tu.
  14. Breezyman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Waambie hao
  15. Breezyman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hakika ni kweli
Back
Top Bottom