Habari zenu!
1.Wanaofanya first screening(kuwa shortlisted au not)ni hao hao utumishi au maombi yanatumwa idara husika(mwajiri)??
2.Hivi anaesaili watu wanaokuwa shortlisted ni ajira portal wenyew au members(team maalum)kutoka taasisi uliyoomba kazi?
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.