Recent content by Brcbrwn

  1. B

    JamiiForums Tanzania Najitolea Figo

    Kwa mtu mwenye uhitaji wa figo. Anichek kupitia brcbrwn@yahoo.com
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kazi au Ajira

    Mimi ni kijana wa kiume umri 25 Elimu kidato cha nne ni mchapakazi na mwenye maadili mazur. Natafta kazi yeyote yenye malipo mkoa wa Arusha au mtu yeyote anaye weza nielekeza kwenye viwanda au kazi yoyote itakoyo nisaidia.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za muda Tume ya Taifa ya uchaguzi

    Arusha yenyew leo ndio ilikuwa siku ya mwisho
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za mda mfupi NEC

    Nani anajua kinachoendelea maana tunasubiri zitangazwe tunaona kimya mwenye kujua atujuze tafadhali.
Back
Top Bottom