Wewe, lissu na wenzako wote mashabiki tuu, je ni kweli shule za kata ni za kipumbavu kama unavyosema?, au ni bendera fuata upepo msijue mnachoshabikia.huko singida kwa lissu amefanya nn katika elimu?, muache kuwa washabiki wa watu kama hawa wasiojielewa, mie mtoto wa maskin, nimesoma shule ya...