Ingabire ana kitu ambacho wanaita Hutu ideology, bado anahitaji Genocide iendelee. kwa Rwanda hii haiwezi kutokea tena kamwe. kumbe Serekari iendelee kumshikiria huyu mpumbavu mpaka kieleweke
weka Balozi pale Goma, achana na upumbavu wa Tchisekedi, Deplomacy ya kenya na AFC/M23 ndo iko sahihi, biashara iendelee zahabu kwa wingi aiseee hadi raha
Aise Sijawahi ona mpumbavu kama wewe, Rais muelevu kiasi hiki anajua kuitafutia nchi yake business sehumu mbalimbali, ila wewe sababu ya wivu basi ni kumtukana. wewe unapaswa uishi bondeni, uishi na mifugo pekee, kwa sababu upumbuvu na ujinga wako wa hari ya juu
we fikiria tangia vita ianze FRDC hakuna hata mji angalau hata mdogo ambao waliuzubiti ili m23 ishindwe kuwanyanganya. walisaidiwa na majeshi mbalimbali lakini wakawa defeated
Hata TSISEKEDI ana hela nyingi lakini ameshindwa ku control nchi yake, yeye kila siku ni kusema Rwanda inaiba madini yake, kwanini yeye asiibe madini ya Rwanda. kwani mungu aliumba madini alipofika mpakani Rwanda akasimamisha. aondoe ujinga wake
Huyo mtu anayesema Rais wa Rwanda ana roho mbaya ni chizi. Rais wa Rwanda anapendwa na wananchi wake mia kwa mia. yeye ameiendeleza nchi sawaswa katika sekta zote. kama una wivu basi jifungie ndani ya chumba ujinyonge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.