Kama Kuna polisi humu tupate shuhuda zao, na je wanajisikiaje kulalamikiwa hivi? Wanachukua jitihada Gani kulinda hadhi ya jeshi la polisi?.
Tunakoelekea Hali itakuwa mbaya zaidi kwa sababu wao wapo kama nyumbu tu wanatekeleza Kila amri hata kama wanajua ipo kinyume na maadili na kiapo chao.
Mtoa Uzi una upumbavu mwingi sana! kwa hiyo mnataka msikemewe kwa hayo mnayofanya?
Kati ya nyie mnaoteka na kuua watu, na wanaokemea mnayoyafanya nani anaharibu amani?
Huku kwa wasukuma wanataka usalimie kisukuma tu😂, wanaamini ukiwa Mtanzania lazima ujue hii lugha!
kwa wale wanaojua kiswahili, ukichelewa anaanza yeye kukwambia marhaba.
NB
salamu ya kiswahili ni "habari yako"
Huku kwa wasukuma wanataka usalimie kisukuma tu😂, wanaamini ukiwa Mtanzania lazima ujue hii lugha!
kwa wale wanaojua kiswahili, ukichelewa anaanza yeye kukwambia marhaba.
NB
salamu ya kiswahili ni "habari yako"
Hapo umefikiria mwenyewe😂😂
ila think tank za CCM ni janga la taifa.
Michezo inafanyika miaka yote hiyo na serikali Haina majibu, wanaishia kujilalamisha kwenye majukwaa! si ni kujidhalilisha huku?
Ukiambiwa watu wazima wapewe heshima, nd'o kama hawa akina Warioba! ila linapokuja suala la wazee walio wengi sample za wazee wa Time, tunapata kigugumizi kuwaambia watoto wetu waheshinu wazee!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.