Utakuwa umechanganya kidogo, jua mtu anaye miliki fiber ni USA pekee wengine wote tunanunuua kutoka kwake ikiwemo na China. Ndio maana kukitokea tatizo lolote kwenye bahari la fibercut hata mchina atakosa internet. Hapo wachina wanazungumzia kuwa wana switch zenye uweze wa kutoa internet yenye...
Kwa mtu wa kawaida hiyo ni kubwa sana, kama sijakosea saivi unaweza kupata 4Gbps na kila port itapitisha 1gbps au 2gbps na hapo matumizi yawe ya Taasisi, kwa mtu binafsi 200mbps inatosha sana
Tena aliachwa alipotaka kujiunga na MOSSAD. Baada ya muda kupita na kukosa mtu sahihi kuingia Syria kupindua utawala wakafungua mafaili wakaona yeye ndo anaye faa maana ni Jewish Arab na baba yake alitokea Syria akaenda Egypt.
Wakati huo chama cha ba'ath chini ya Assad mzee ni haramu nchini...
Kabla hujasema uwongo, jaribu kufanya research hata ya juu juu kidogo, sisi wengine tunapenda kusoma na kijifunza mapya kila siku.
Kimekupa kitu kidogo utafute miti aliyo panda kimkakati eti anawapenda wanajeshi wa syria wawe wanapumzika kwenye kivuli.
Miti aliyo panda ndio iliyo sababisha...
Msome vizuri utajua alifanya nini katika six day of war. Fuatilia jinsi miti aliyo panda kimakusudi na kiakili ilivyo wezesha majeshi kulenga shabaha kiukamilifu
Yaani 6 day war yeye ndie wa kushukuriwa na Israel, kama walimpandikiza kama mfanyabiashara kutoka Argentina na alikuwa anachukua uwaziri wa uchumi.
Ila serikali ya mpya ya Syria inabidi ijiangalie asije kuwepo mwamba kama huyu tena
Na tutafungwa wengi sana, maana mtu mwenye kipato cha 500k Tanzania naye unakuta ana mfanyakazi wa ndani. Sasa sheria ikisema amlipe 500k si ni kumsfilisi kabisa
Pole sana ndugu. Ila na sisi wazazi tumezidi yaani mtoto wa primary unampeleka boarding yaani miezi mitatu hujui mtoto anakula nini anaendeleaje maana hao watoto wanatishwa sana wasiseme mambo ya shule. Najua saivi utakuwa tumejifunza kitu.
Jua hakuna mtu duniani anayeweza kumpenda mtoto wako...
N
Ndugu unajuaje kuwa alifungiwa kwenye banda na mbwa? Sisi binadamu tuna uwongo mwingi sana tunapotafuta huruma kwa watu. Kwanini iwe yeye tu afungiwe kwani hakuna watu wengine wanapita hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.