Recent content by brasy coco

  1. brasy coco

    THE CHAIN: Mkakati wa kisasa wa CHADEMA ambao wameubuni

    Ww muongo sana ccm ndio chama cha mwanzo kuja na mfumo wa kidigital kisha kaz iko vzr chadema mashine tu kanunua alyekosa ubunge cdm ina njaaa kali hlf uyo mtt chini mkali kisha anakuwa cdm atakuwa mchawi
  2. brasy coco

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Huyu Kamanda ni muongo tena uongo wake ni wa kiwango cha Tozo za Tanzania, hivi jamani Gaidi gani ambae hataki kuuwa Raia anataka polisi tu??? Tutizame hao IS walvyo wanataka public ya watu ili wajitoe muhanga na kuwauwa watu wengi, Hamza anaonekana katika video hanaa time kabisa na Raia jambo...
  3. brasy coco

    IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

    Ni mapema kutoa hiyo kauli uwezi kumwita hamza gaidi yulr si gaidi magaidi wao ulenga majority ya watu na kuwauwa hamza hakufanya ivo, kaka hamza yeye alkuwa na kisasi na polisi... Polisi watuambie ukweli wamemfanya nini Kaka Hamza???
  4. brasy coco

    TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

    Kwa hiyo TAKUKURU wanafanya kazi za tuhuma au zenye uhtibitisho kwa hyo mie sasa hivi nikiwapa tuhuma ya sabaya na sina ushahidi wamkamata... Basi tuna watu dhaifu sana....
  5. brasy coco

    TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

    TISS haiwezi kuwa sehemu ya mipasho, mbunge kasema wai wajibu kwanza hata thamani yao itaondoka, uzi wako umeegemea sana katika dhana huna huthibitisho wa matendo.... Narudia TISS haiwezi kugeuka kujibu kujibu... TISS si watu wa mipasho....
  6. brasy coco

    RC Ayoub Zanzibar Sea Food Festival fursa kwa wote

    Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja, Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud ametangaza rasmi Tamasha la Zanzibar Sea Food Festival ikiwa na kauli mbio Kamata Mshipi Vumba ni Fursa.
  7. brasy coco

    Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

    Mule mule kabisa mbowe anajigeuza mungu mtu, uku mnyika akiwa malaika mkuu hawa watu ni wanga
  8. brasy coco

    Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

    Mjadala unaendelea mitandaoni wakishindanishwa Nandy na Zuchu nani hodari wa kuimba? Kura yako kwa nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. brasy coco

    Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Acha upuuz police wanapokea ripoti ya daktari, kwani unavockia mtu kabakwa kwa kuwa ripoti ya daktari inathibitisha, ukisikia mtu kagongwa na ktu kzito ni daktari ndiye anayetoa report na kukabidh police. Upumbavu si mzigo tu kwa mpumbavu bali kwa taifa Zima -The great B
  10. brasy coco

    Maajabu 21 ya RC Ayoub

    Acha uoga Sent using Jamii Forums mobile app
  11. brasy coco

    Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Kuna kitu kimoja huwa watu hawajui, hawa watu huwa na maisha mengine ambayo nyie viherehere hamuyajui, maisha yao hayo uyafichwa kwa mwavuli mwengine Sent using Jamii Forums mobile app
  12. brasy coco

    Maajabu 21 ya RC Ayoub

    Na nitumiemimi@gmail.com 1. Mwaka 2018 akiwa Rc Mkoa wa Mjini Magharib Zanzibar, mwenge ulizimwa Mkoani kwake na yeye akiwa kiongozi. 2. Mwaka huu 2020 April, Mwenge unawashwa Mkoa wa kusini Unguja, na yeye akiwa Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja 3. Ni kiongozi kijana anayeangaziwa zaidi na...
  13. brasy coco

    CHADEMA: Kuna wengine watamfuata Dkt. Mashinji

    Kwa katibu mkuu yeyote wa chama chchte akiondoka athari haikoseni, kukubali ukweli si udhaifu
Back
Top Bottom