Jibu la moja Kwa Moja halipo.
Watu wengi wanatamani yawepo lakini wanasubiri nani wa kuyaanzisha, kwa sasa Tanzania ni kama petrol imemwagwa chini nch nzima, tunasubiri tu kibiriti ambacho ccm na vyombo vya ulinzi wanakilinda mtu asikichukue,.
Hapa namaanisha ikitokea watu Wachache wakatoka...
Tuchukulie tumekubaliana na mawazo yako!
Nikuulize swali, kwanini hawa jwtz waliruhusu watanzania kuuwawa kwa siku tatu mfululizo? Kwanini wanaendelea kuangalia TU watu wanatekwa? Kwa nini wanakulbali kutumika kisiasa?
Mjeshi anaonekana kama katekwa na anatoa tamko kwa shinikizo.
Ukiangalia sura yake na sauti yake utamuona kabisa siyo yeye.
Na kwanini amekwepa kabisa kusema neno maandamano?
Ni wapi nimesema nitaandamana?
Tatizo la watanzania ni kusoma ili ujibu, na si kusoma ili uelewe.
Jaribu kunisoma tena ukiwa na mtazamo wa kutaka kuelewa.
Watanzania ni wagumu kuelewa, jeshi limesema yeyote atakayeleta vurugu watamshughulikia!
Hii maana yake watu wakiandamana kwa amani halafu polisi wakaleta vurugu watashughulikiwa.
Kitendo cha polisi kujaribu kuwatawanya waandamanaji kwa mabomu ya machozo au virungu kutatafsiriwa kama kuleta...
Bila mapigano kusingefikiwa makubaliano haya.
Kumbuka kulikuwa na makibaliano kati ya Iran na USA wakati wa utawala wa Obama.
Makubaliano hayo yaliendelea kuifanya Iran kuwa na uwezo wa kutengeneza bomb la nyuklia.
Alipoingia Trump mazungumzo yalianza lakini hayakufanikiwa, baada ya kupimana...
Wanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.