Recent content by Bpnoma

  1. Bpnoma

    CCM inazidi kugawanyika

    R.I.P wasakatonge walikupenda lakini mungu kakupenda zaidi!
  2. Bpnoma

    Jaji Warioba anaishi kwa mlo wa CCM kwanini anaishambulia Serikali

    Jaji Warioba anaishi kwa kodi za wananchi pesa ya ccm huwa inatumika kuhonga vija na kuleta vurugu tuu hiyo ndo kazi yake.
  3. Bpnoma

    Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

    Wengine ndo wanasema mbunge ajue kusoma na kuandika tutakuja kuchapwa viboko makaburi yetu na kizazi kijacho!
  4. Bpnoma

    Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    Gazeti la UHURU!
  5. Bpnoma

    Televisheni ya Uganda(UBC) yaonyesha mazishi ya mwl Nyerere muda huu

    TBCCM ipo kwenye ktchern part na akina nepi!
  6. Bpnoma

    Shame on the Government and BoT as the shilling sinks to 1710!

    Tumeamua kuwa nchi ya wachuuzi hatutaki kuzarisha tuna import tuu itafika 2000/=. wakati serikari ya awamu ya 4 inaingia sh ilikuwa 900/= kwa dola.
  7. Bpnoma

    Government of Tanzania reaches to IMF to fix budget after aid cut

    Wapanue tax base bado kuna biashara nyingi Sana hapa hazitozwi kodi tatizo wameng'ang'ania pombe na sigara. Pia wapunguze anasa vasco da gama apunguze exploration.
  8. Bpnoma

    Simulizi za polisi kuua gaidi Arusha

    Huyu jamaaa kwa nn alipue mkutano wa chadema, kanisana ,bar tena aende kwa shekhe uhusiano uko wapi hapo Police tupeni majibu ya uhakika sio ubabaishaji
  9. Bpnoma

    Confirmed: Rais Putin wa Russia anakuja Tanzania

    so baada ya nchi za magharibi kugoma kuchangia bajeti wameamua kuwageukia mahasimu wa magharibi kama ni kweli ccm wanataka kutuletea balaa na hawatashinda vita hii
  10. Bpnoma

    Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

    Kama kweli wanaume wejitokeze tuwapeleke misitu ya pande
  11. Bpnoma

    Kikwete anaongoza kwa kutoa hotuba za hovyo

    Vipi kuhusu deni la Taifa liko mara ngapi ya awamu zingine? thamani ya shilling ilikuwaje 2005 na leo vipi? Vipi mfumko wa bei ukoje? Na makusanyo ya kodi vipi? Vipi ushirikiano na majilani zetu ukilinganisha na awamu zingine? Ubora wa elimu na hio miundombinu?
  12. Bpnoma

    Rais Kikwete 'hakuwa na jinsi'

    Alijaa mipasho tu kama TOT!
  13. Bpnoma

    Picha huzungumza kuliko maneno- huyu kamanda ni mkweli

    Bunge limetushinda sasa tufanye nini kimebaki kusifiana tuuuu nchi hii jamani?
Back
Top Bottom