Waafrika kweli akili zetu nyeusi badala ya kutafuta Mungu wetu sisi watu weusi yupo wapi, tunahangaika na Mungu wa wazungu na waarabu. Shame on us kabisa.
Ukweli ni huu sisi weusi huko tuendako tutakuwa matarishi pamoja na juhudi zetu za kutetea dini za wenzetu. Ila watuambie Mungu wetu mweusi yuko wapi, malaika wetu weusi wako wapi na manabii weusi wako wapi. Majibu ya haya maswali angalau yatapungua maswali kwa mtoa mada ya bible na koran ni...
Sisi waafrika tuutafute ukweli wa Mungu wetu mweusi yuko wapi. Na si ipi dini ya kweli wakati zote zimetoka kwa watu weupe. Watuambie Mungu wetu mweusi yuko wapi basi. Si kuja unaaaminishwa tu then tunafuata na kufikia hatua sisi kwa sisi tunauana kisa dini za kuletewa. Hii chuki inatoka wapi...
Huku kuaminishwa tu kuwa ni vitabu vya Allah ndio kunakotupa shida. Kwa nini walipoleta huku wakataka tuache kila kitu tufuate ya kwao? Eti Mungu wao ndio wa ukweli. Hapo ndipo shida inapoanza. Je wa kwetu hawakuwa wa ukweli. Mimi nakataa kabisa kuniambia eti tulikuwa tunaabudu miti, majabali...
Si wazungu tu Mkuu. Ni pamoja na waarabu. Tunaambiwa tuamini tu bila kuambiwa ukweli halisi. Wanatuambia zamani Mungu aliongea na watu. Mbona alikuwa anaongea sirini sana. Je tuna uhakika gani? Na ni huko kwa weupe tu. Mbona hakuongea na sisi weusi? Na likawa kwenye vitabu vyao? Wazee wetu...
Mkuu, hapa huwa napata shida sana. Wameniletea kitabu wakanilazimisha niamini kilichoandikwa. Kwa nini sasa hawataki tuulize maswali mengi ya kujiaminisha?Na kwa nini sisi huku tunalazimisha tu kuwa hiki kitabu ni cha kweli. Wakati maswali magumu hawataki kuyajibu. Mfano, kuna jamaa analazimisha...
Mpaka nafika mwisho kusoma hoja sijaona hoja ya kumjibu mtoa mada. Matokeo yake watu wameanza kusifia wanachokiamini wao. Mtoa mada kataka kujua je biblia na qur'an si project za watu? Mimi nakubaliana na mtoa mada kabisa. Hz ni project za watu. Waarabu na Wazungu walitukuta na imani zetu. Kila...
Ukiona mtu kazidiwa maarifa na ujuzi hukimbilia maneno ya Mungu ili kujifariji. Hawa jamaa wako realistic kama ndugu aliyesema hapo juu. Reagan alipigwa risasi na sniper, baada ya kosa hilo ndio maana wanatake cover mapema kabisa. Sisi tabu yetu ndio hii Mungu yupo Mungu yupo hatujifunzi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.