Recent content by bozz mandia

  1. bozz mandia

    Baada ya mauaji ya mzee Ally Kibao, je atazikwa kijeshi? Jeshi linasemaje kuhusu mauaji ya ofisa wake mstaafu?

    Bongo this time limekua chaka la vilio visivyo toa sauti tumekua kama tumerogwa hata tukiwa na hasira watu kumi watu mia wananizamu za woga tuna kikubwa Cha kujifunza tunakikubwa sana nadundulizq mtaji wangu nkimbilie Norway at least nkitia nguvu yng huko huku kwetu ntawekeza ila so pakuishi...
  2. bozz mandia

    Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

    Mali na kila kitu so mapenz mapenz na kipato vyt Vina nafc tofauti anaweza akalipa vicoba akakupa password kumbe mwenye mirathi kamficha nyumbani
  3. bozz mandia

    Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

    Sa utafanyaje mzee wng maana nkikuuliza utasema anakufikisha peponi kama peponi umefika kuna nn hapo subri ukaonje na motoni
  4. bozz mandia

    Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

    Sa utafanyaje mzee wng maana nkikuuliza utasema anakufikisha peponi kama peponi umefika kuna nn hapo subri ukaonje na motoni😀😀😀😀
  5. bozz mandia

    Taasisi ya Jeshi la Polisi Iundwe Upya!

    Unajua Kwa huu mwaka hata ambao tulikua hatuijui siasa tumeijua kua Ni Zaidi dirty games zingine yaani tumeona wazi haki ikipeperushwa ndo misimu tulioshuhudia undava ukimaliza nchi yetu tunabaki kuangalia kwasababu hatuna pakusemea woga umetukumba tumenyimwa kujiamn la msingi kutafta nauli...
  6. bozz mandia

    Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

    Shikilia hapohapo master na ukieenda Kwa Allah utamwambia kwann unisahau kwenu kisa starehe😀😀😀😀😀
  7. bozz mandia

    Msaada: Niligundulika na tatizo la vidonda vya tumbo, dozi niliyopewa imeisha lakini sijapata nafuu

    For my own experience vidonda vya tumbo vimekaa as an imagination thing ziko dawa nyingi zakutibu haya madhara kama unaliskia tumbo lako kuuma ukahisi vidonda Leo nakupa kirutubisho hiki na tatz utaliskia tuu tafuta Hindi bichi yaani ambalo bado kukauka then pukuchua Yale mahind yenyewe halafu...
  8. bozz mandia

    Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

    Most of the time guys tunakua interested na tunachokitamani kuliko tulicho pangiwa pengine Kwa Akili zng ndogo nahs UNAHITAJI kuwekeza Kwa mwenye utashi na muda ukakupa jibu you need time
  9. bozz mandia

    Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

    Dada zetu Ni watu ambao wanapendwa kubembeleza Kwa alie kupenda atazingatia ratiba zako you need creat distance ili aone umuhimu wako atakutafuta keep distance
  10. bozz mandia

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25

    They are deserve hata wakikubali kubadilika hawatapata shida maana wataelewa tatz na itakua rahisi kurekebisha KEEP GOING WITH SIMBA SPORT CLUB
  11. bozz mandia

    PreGE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

    Ifike mahali tuyaone Yale manufaa ya kusema tunayo demokrasia
  12. bozz mandia

    Msemaji wa Vital'o kujiuzulu kama wakifungwa na Yanga

    Mikwara Ni sehemu ya maisha ya mpira kama ilivyo betting tu Kwa nlivyo waona yanga wanafungika vema tuu SEMA bado kupata Ile mechi YENYE ushindani tuone J moc itakuaje
  13. bozz mandia

    Gen. Kainerugaba: Uganda ipo tayari kutuma askari kuisaidia Israel

    Hivi hapana nafasi ya mtanzania hata mmoja watu tuingie huko
Back
Top Bottom