Recent content by BoyOfGod

  1. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za Jumuiya ya Madola kutaka Lissu aachiwe zimekwisha, kinachofuata ni utekelezaji

    Tatizo wakitoa adhabu nyingi athari zake ni kwa wananchi Kama wanaweza wangetuma tu jeshi litusadie kuua gaddafi kwa kweli 😀
  2. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri, nasumbuliwa na vidonda vya tumbo

    Mungu atusaidie aisee Amini tu usikate tamaa
  3. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumuachisha kucheza e Football kijana huyu, linamlaza saa 10 alfajiri

    Usimforce sana Akianza kujitegemea akili zitamkaa sawa
  4. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

    Hivi haiwezekani kublock mashetani machawa haya huku Jf Hebu tuanze kuyapuuza Haya ndio mafuasi ya zumaridi hamna akili kabisa
  5. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Hivi milembe mbona mnaacha wehu wengi huku
  6. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa Kugusa Maisha ya Watu Na Mahitaji ya Mioyo yao na ndio Maana Hakuna Mtanzania Mwenye Kuunga Mkono Maandamano

    Umeona alivyozomewa juzi lakini Hebu tumia utu wakati mwingine acha uchawa daaah
  7. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Chalamila usipotoshe, foleni ya Dar inaletwa na Malori ya Viongozi si mabasi ya Shekilango

    Dar ni mji wa watu wasio na haraka kwa kweli Its so sad Na bado kila mtu anadream kununua gari, wote tukiwa na magari sijui ndio itakuwaje Magufuli aliona mbali kujikikita kuondoa foleni Dar.
  8. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni akili ya kujifariji. Ukweli ni kwamba hamkubaliki na wapiga kura

    Hii nayo dhambi jamani
  9. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Marekani yataka Serikali, wapinzani wazungumze

    CUF Tutaridhiana bhajameni
  10. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

    Khenge mwitu
  11. BoyOfGod

    JamiiForums Tanzania Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

    #hatununuiwoga Chamsingi tuwajambishe jambishe hata polisi waandamane
Back
Top Bottom