I dont have the guts to tell that issue to my wife!Tangu tuoane the only thing ambacho huwa anakipinga ni mimi kuzaa nje na mtu wakati tushaoanaa, alishaniuliza before kama nilikuwa na mtoto nikakataa na ni kweli sikuwa nae. Sa ivi kweli nimwambie nina mtoto yuko tumboni au akizaliwa ndo...
Jamani mimi ni mume wa mtu na nina mtoto mmoja. Katika pitapita zangu mdada mmoja katokea kunizimikia ile mbaya. Nimejaribu kumkwepa lakini waapi, kila siku ananipa majaribu!Kuna siku alinialika kwake nikakataa kwenda, akamtuma mshkaji wangu atafte mbinu ya kunipeleka kwake. Mi sikujua kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.