Recent content by Boychem

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nakinzana na wanaotaka tuite Amirati Jeshi Mkuu badala ya Amiri Jeshi Mkuu

    Hahahaaa Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

    Hahahaaa we jamaa Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Sio amchague slaaa kuwa msaidizi wake sema slaaa ajiandae kurudi bongo aje kuishi kama raia wa kawaida tuu.. Hahahaa tabu ipo palepale Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Manara this is too much

    Hapo ndo umepiga mkwala mwenyewe.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Manara this is too much

    Kumbe manara anatoa "mbolea' hahahaaa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Alafu hata mleta Uzi anaonekana ni mshabiki maandazi wa vijiwe majungu vya kahawa.. Kaandika hisia.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Nikichogundua wewe mwenyewe mpiga zumari tuu.. Usimba umekujaa.. Unamuongelea Katanga ommy wa ufm ambaye kipindi kizima na Watu wake wanachambua habari za simba tuu.. Au unafikiri wapenda Michezo hatujui radio zenye watangazaji wanaz wa simba hata wanashindwa kujizuia mahaba yao!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, striker mpya wa Yanga Fiston Abdul Razaq ni bora kuliko Mo Salah?

    Kwa wakati ule Ngassa alikuwa mshambuliaji bora
  9. B

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Ajiandae kusomewa nyaraka za kutosha na kila misa za jmos na j2 agenda zitakuwa udini wa Rais Huyo. Hii nchi ngumu sana hii.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Hapo kwa jaji mkuu sio kweli, ni mkatoliki pure.. Hilo ni jina tu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Jinsi ulivyoandika tu unaonekana umejawa na udini, kwa nini haitokei hata kwa bahati mbaya siku moja waislam wakateuliwa wengi kuliko wakristo hata kwa 60% tu? Miaka ya nyuma mlikuwa mnajificha kwenye kichaka kua waislam wengi hawkuwa na elimu ya juu.. Lakini Leo waislam wengi wasomi.. Sura ya...
Back
Top Bottom