Watu wa humu wanapenda sana kujudge kupitia avatar ama I'd utadhan hawajui asilimia kubwa wanafake humu kila kitu (na kwenye hii comment hawachelewi kutokwa povu)
Katika kumkabidhi mtoto wao walimpa sharti la kutoendelea na mziki sababu ya heshima katika familia ile waliyokuwa nayo katika jamii (sitaliongelea hili kiundani tafadhari) ... wakampa na mali za kutosha ili asje akaingiwa na tamaa za kurudi tena kwenye muziki...
Lispokupata wewe litampata mwanao , utajilinda wewe lakini hutomlinda mkeo . Sio wote wanaopata hili tatzo ni wamejitakia wengne wanajilinda kama wewe lakini ndo hivyo tena yanawakuta ya kuwakuta ..
tujaribu kuwa na lugha nzuri tu
Naona watu humu wanacheka na kumbeza dada wa watu kana kwamba wao ni wakamilifu sana ,ila niwaambie kitu wote tutakufa tu ,tena wengne kwa magonjwa makubwa kuliko hili lililozoeleka ...
acheni ujinga
Kama huna cha kuchangia ni bora ukakaa kmyaa ...
Itakuaje na yaje kutokea kweli.. inamaana baba yetu aliyetuumba anatufanya kama midoli , yaani anatuumba tupigane ,tuumizane ila kwake ndo furaha ama ni vipi!! Kwa maana nikskiaga ama kuona kuwa (imeandikwa ) wewe unadhani nn tafsiri yake..... M/MUNGU NISAMEHE MIMI SI MKAMILIFU.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.