Recent content by bourne

  1. bourne

    Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Hawa Bvr operator hawajui kutumia hizi machine? au hizi machine ni mbovu manake haiwezekani wanaandika mtu mmoja afu tunasubir nusu saa machine haifanyi kazi.
  2. bourne

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Internent yenu chanika yote ni majanga
  3. bourne

    Hii ndio SERA KUBWA ya Magufuli! Kama hujui!

    Magufuli hana sera ila alisema atafata ilani ya ccm ndo mana alisema hatawaangusha.ccm wanajua wananchi sahivi wanataka nini kumbukeni kipindi kikwete anagombea walijua wananchi wanataka raisi handsome kijana ndivyo hivyo safari hii imegundua tunataka mtendaji kazi.Lakini ukweli ni kwamba...
  4. bourne

    BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    Ukumbi wa anatogulo mnazi mmoja kituo cha baridi
  5. bourne

    Zoezi la kijiandikisha kwa BVR Dar.

    Jamani ilala semina ni leo kesho?
Back
Top Bottom