Huyu Askofu Malasusa atageuka jiwe la chumvi kwa usaliti wake. Hilo wazo la kusema ataiondoa DMP ndani ya KKKT ni ya kujisumbua maana kanisa ni Washirika wala si hayo madaraka yake. Akitaka aondoke ndani ya kanisa atuachie familia yetu. Wengi wa waumini wa KKKT - DMP tuko upande wa Maaskofu/...
Amri Jeshi wa Jeshi anajiuzulu nchi ikiwa vitani! Huo ni uasi - kama kapokea fungu basi ni laana. Tumempoteza kamanda muhimu ila dhaifu na mwoga. TUNASONGA MBELE
Wajumbe nina habari ya kuweza kuwajuza. Nimemfuatilia kwa muda sasa huyu "Mchungaji" Gwajima kabla na baada ya tuhuma zake kuwekwa wazi nikiwa muumini wa kanisani kwake na kuwa nimegundua yafuatayo ambayo yaweza kuwa msaada kwa jamii yetu na kanisa la leo:-
Ameweza kujijengea himaya ndani ya...
Wadau kama mkiichunguza hiyo picha ni kuwa imepigwa na Askofu Gwajima mwenyewe ama msaidizi wake kutokea ndani kwake ndo maana gari ya polisi inaonekana kupitia kwenye fence. atakuwa ameipiga akiwa ndani kwake akamtumia mtu wake wa inforamtion David Mgongolwa (mmoja wa wachungajki wake kati...
Wadau kama mkiichunguza hiyo picha ni kuwa imepigwa na Askofu Gwajima mwenyewe ama msaidizi wake kutokea ndani kwake ndo maana gari ya polisi inaonekana kupitia kwenye fence. atakuwa ameipiga akiwa ndani kwake akamtumia mtu wake wa inforamtion David Mgongolwa (mmoja wa wachungajki wake kati ya...
Gwajima aweza kuwa kiongozi mzuri sana aliyeweza kucheza na akili na maisha ya watu ila ana kosa hekima kama mpakwa mafuta wa Mungu. Hicho kiburi cha kutoa amri kwa mkuu wa nchi na mamlaka zake anapata wapi? hata biblia inasema tiini mamlaka zilizopo.
Asiichukulie nchi kama hao wanaojiachia...
why amwache Mungu amshughulikie?
Mbona Gwajima hakutaka kumwachia Mungu amshughulikie kama anavyowaamnisha? Hivi hamjiulizi? Mambo yake huwa anawaambia mwacheni Mungu amshughulike pale mnapoona amekwenda kinyume ila ya wengine hutaka kuwashughulikia mwenyewe. Huo ni unafiki uliotukuka - kufanya...
Hivi mmelogwa? Yaani mnakaririshwa biblia na kuanza kujiropokea mtaani kisa mu wapakwa mafuta? Someni biblia na roho awaongoze. Mnatetea maovu kisa mtu kujitangazia uungu! Gwajima yu nani hata atoe order kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi? Hicho kiburi cha kutoa order kwa Rais wa nchi anakipata wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.