Yaani hii uchungu yote ni ya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba akiamua kuto jishughulisha na kelele za fisi ndio wakenya waliamua....nilikuwa nawashangaa wakenya wenzangu wakilinganisha Kenya na LDC badala wakailinganishe na Africa kusini na Morocco.
Binafsi naona mods walishindwa ku moderate huu Uzi,unapata mtu ana sign I'd mpya then anaanza kupost picha zimejaa huku tangu 2016 (hii tabia iko na wakenya sanana)mfano ni hio ngombe hapo juu inajiita faoro kila kitu amepost hapa kilo hapa tangu 2016.ivi mbona kama mtu ako idle sana asichukue...
Cha kushangaza ni venye mlikuwa mnapiga kelele mingi baada ya kufungua JNIA terminal 3 ati mtaipiku jkia kwa miaka miwili, ata jkia iki stagnate hapo Kwa 8milion na nyinyi muongezee abiria 500k kila mwaka ambayo sio ata realistic kulingana na growth ya abiria jnia itachukua zaidi ya 12yrs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.