Recent content by both teams to score-YES

  1. both teams to score-YES

    Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

    Umenena mkuu ht mie sijaelewa mshahara ukatwe vp wkt sijawa confirmed
  2. both teams to score-YES

    Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

    Yaani nina shida sn maana mzee anaumwa hlf sielewi kabisa sina pesa.nikaona kwanini niombe misaada wakati pesa ipo ktk nssf.
  3. both teams to score-YES

    Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

    Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000). Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation...
  4. both teams to score-YES

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante sana mkuu nimeshiba maelezo yako,ubarikiwe sana Blood..ila TAMISEMI maana ake ni hao wote au LGA only?
  5. both teams to score-YES

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naomba kueleweshwa wakuu,kwani hizi za LGA hakuna asali huko?na wanaposema ajira za tamisemi,ndio hao LGA au both LGA&MDA?
Back
Top Bottom