Recent content by Botany

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    sikuyajua kabla, simpi tena kura LOWASA.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa mkikimkiki tarehe 30 Agosti, 2015; Mada UTAIFA ( sera za vyama)

    mdahalo ni lazima uwepo ili tuwapime wao wawili mbali na ushawishi wa wafuasi wao. ila sio lazima wajibu wakiwa wamesimama wanawez kufanya madahalo wakiwa wamekaa kitako
  3. B

    JamiiForums Tanzania RATIBA ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA na mgombea mwenza

    afya yake inatia shaka na ratiba ngumu kama hii
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Lowassa, mmeyafikiria haya?

    andiko hili limenifanya nianze kutafakari upya juu ya kuendelea kumuunga mkono LOWASA!!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    wamewasahau 1. Sospeter Muhongo 2. Humphrey Polepole 3. Dr. Bana 4. Benjamin Mkapa 5. Dr.Salim
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    nilishamdharau sana yule UFOO
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mikopo ya NSSF Arusha na Kilimanjaro

    watu kadhaa nawafahamu wameingizwa ktk huo mchakato, umesahau 50,000 waliyolipia kwajili ya mafunzo ya ujasiriamali na nidhamu ya matumizi ya hizo pesa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  8. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Buriani Mzee Moshi T.T wa Tabora

    namkumbuka vizuri, RIP
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    nakubaliana na wewe, nadhani police officers na law enforcements agents wengine wanatakiwa kwenda a mile ahead, tukio kubwa kama hili mara nyingi hutumia muda mrefu sana kufanya planning, arrangements, logistics, usafir wa kuwapeleka na kuwatoa pale, survaillance team etc. mara kadhaa hua pia...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    mkuu mrugaruga ingawa idadi ya silahi zilizoibiwa haijatajwa, raia tunakua katika wakati mbaya zaidi kua wahanga wa matumizi ya hizo silaha.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    mkuu Nice Guy funguka kidogo, bado wahalifu hawajapatikana na kuna kitu nahisi unataka kutupa mwanga
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    ni wajibu wa kila rai kutoa mchango wake linipokuja suala zima la kupambana na makundi hatari kama haya
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    kuu JUmong s one week has passed and there is no way from the Police about this criminal enterprise!
Back
Top Bottom