Ahf story kuhusu huku Ni nyingi kuliko uhalisia huku Kuna option nyingi za kununua mmandinga nikweli zipo zawizi,zipo za matreikerz,zipo za bank repossession,zipo za showroom mpya, zipo used second hand hapa kwenye second hand ndio hatarii pia zipo za mnadani ambazo unazipata kwa Bid & auction...
Ni biasha
Yenye faida kubwa saaana ushauri
Anza na mtaji wa lski mbili njoo Tunduma (black) chukua mzigo hata pisi 15 hapo na usafili nk inawza fika Hadi laki mbili nanusu hivi ukifanikiwa kufikisha mjini unaeza uwa faida Hadi paxu kwa pasu some times
Nenda play store download app inaitwa Deni app hao jamaa me wamenisaidia saana sababu hakuna Kati yenu mwene haki ya kuaminiwa kwamfano Tv inauzwa laki 5 MTU anataka 2.5 ndio atume mzigo Kama wew ulivo na mawenge nae ndio na yeye anakuwa na mawenge vilevile Kama wewe Unahitaji kuaminiwa na yeye...
Kama upo shap uza kipodozi Cha Congo kutoka Tunduma ndani ya mwezi una eza piga 1,500,000/=
Kwa mtaji huwo kikubwa upate wateja sahihi na vipodiz sahii mfano ukanunua vitube vinavyo uzwa 2000 Tunduma Dar 4000
Hapo ukapata wateja wa uhakika location ya uhakika unatoboa
Kwa sasa unaeza kutumia YouTube Ads pia ina matokeo makubwa saana sema huku YouTube na Google Ads kumevamiwa na watu wa mikopo na watu wakubet saana Ila fields zingine pia zinanafasi ya kupata Hii fanbase
Hapo kwenye POD Nnandoto napo na nshawahi Fanya haswa Kwa majukwaa ya World wide kama teespring nk nilitamani sana ije iwe kibongobongo ahseh ila one-day yess
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.