Recent content by Bossladies

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Point kubwa ni moja tu mtafute mungu ni mtihani mgumu ila ukiupita umetoboa
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke mgumu asieweza chepuka hata ajaribiwe namna gani?

    Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October. The man is very handsome and with money, he began showering me with nice messages and slowly...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ofisin za utumishi dsm

    Asante Mkuu pale kuna centre yao ya kuwasilisha malalamiko
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ofisin za utumishi dsm

    Nina shida na utumishi lakini niko dsm hivi Wana dirisha la kuwasilisha malalamiko kwa hapa dms na ofisi zao kwa hapa dar ni wapi au Hadi niende Dodoma msaada kwa anaejua anielekeze tafadhali
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Loan board Heslb mbona hawatoa
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili nyendo zangu naomba Mungu anisaidie nidumu katika mstari mnyoofu

    Mkuu hujawahi kula mbususu tena au umebadilika kabisa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa usaili tarehe 05, Nina mashaka na yafuatayo.

    Usidanganywe na mtu tumiaa ushauri huu hapa utarudi kunishukuru nenda kwa mtendaji wako muombe akupe barua ya utambulisho umkabith vyeti vyako aweke kama majina yanavosoma kumbuka kubandika picha kwenye hyo barua igongwe mhuri na hyo ndo utatumia kama utambulisho wa anaruhusu utumishi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Written interview kwa tutorial assistants huwa yanakuwaje?

    Brother usikatishwe na mtu wewe jiandae wanaofanya usaili ni utumishi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama nina photocopy ya kitambulisho cha nida vipi watakubali
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vipi kama leseni yangu ya udereva omeisha muda watanikubalia au nina photocopy ya kitambulisho cha nida original hakijatoka nishaurini nifanyeje
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimebahatika kulala na msanii wa bongofleva

    Mpyayungi village aliekua anatafuta KAZI kwa shida Hadi kidagaa akampiga kofi leo hii utumie laki 7 kadanganye watoto wako huna jipya story yako uloitunga na ukatisha ni ile ya kidagaa tu hakuna namna unaweza kuwa na mvuto wa uandishi labda ule version my ya kidagaa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya baada ya panya kula pesa

    Kikubwa angalia number kam number hazijaliwa bank wanapokea
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero ya miguno ya mapenzi kwa mpangaji mwenzangu

    Mimi ni me jamani nadhani nimeeleweka vizuri kuwa nimekua addicted na miguno ya mahaba sio kwa kupenda imetokea sababu jamaa analeta kila sku na si kwamba mim Sina demu Ninae ila yuko Kijijini hpa mjini niko chuo huwez nishauri na mimi nilete sina tabia hiyo sasa hyu jamaa nishamfuata nkamwambia...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero ya miguno ya mapenzi kwa mpangaji mwenzangu

    Ndugu nipeni ushauri nina jirani yangu hapa tumepanga nae sasa yeye kila sku analeta demu na huwa anatumia vigra maana wanaanza mapenzi kuanzia saa nne Hadi asubuhi hapumziki na mimi hapa nashindwa kulala Maana kila demu anaeletwa anamegenwa na kulia usku kuacha sasa hii Hali jamaa amenifanya...
Back
Top Bottom