Recent content by BOSSES

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa vyombo vya habari mara baada ya serikali kukosolewa

    Hata kukiuka sheria wakuache tu?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    wewe acha nongwa nenda kamfanyie wewe interview ndio umuulize hayo maswali yako ya hovyo. Unamasiriko kisa Rostam kaweka wazi fikra zote za kipumbavu mlizopewa na huyo mpumbavu polepole.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Weekend yangu imeanza vibaya sana, Kioo cha simu kimepasuka, kubadilisha laki 4

    Umetumia nini kuandika huo ujumbe?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Acha chuki hizo msikilize anachoongea achana na huyo tahira wenu pole pole
  5. B

    JamiiForums Tanzania Samia: Mohammed Interprises na WATCO kazi imewashida

    Basi simba watakasirika
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Sasa mtu amepanga kuvuruga uchaguzi aachwe tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyumbani kumenoga, waliosepa kwenda CHAUMMA wamerudi CHADEMA!

    Chadema hizi siasa ni za 2015 to 2020.ninyi mnafanya leo.mko nyuma sana na muda
  8. B

    JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Kwanini neno wanamtandao lije wakati Rostam alivyombalagaza huyo mpumbavu pole pole?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Na hata fikra ya kumfukuza professor Assad baada ya kuulizia zile trioni 1.5 .zilikuwa ni wazo la wanamtandao
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Propaganda za kipumbavu hizo.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Propaganda za kipumbavu hizo.
  12. B

    JamiiForums Tanzania DUMILA: Msafara wa Raia Samia wasimamishwa kwa Muda

    Ne Nenda kamsubiri Lisu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Emaus Mwamakula unakosea kutoka na andiko lako la hivyo Facebook,kwamba hao mashekhe ndiyo wamebeba agenda ya waislamu wote? Andiko la hovyo

    Yeye huyu Askofu kuambatana na lisu kwenye mikutano ya chadema na wakristo wote ni chadema? Yaani jambo hilo halihitaji elimu bali linahitaji uwe na akili tu kufikiri
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CCM Jimbo la Nachingwea Lindi, Wamerudisha Kadi za uanachama baada ya Mgombea ubunge waliyemtaka kuondolewa kwenye kinyang'anyiro

    Hao ni hisia na mahaba binafsi tu hakuna shida hapo.saa nyingine hao ni ndugu na marafiki wa mgombea aliekatwa.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Figisu la Chikwete na Laigwanani lamponza Fred !.

    Nyie mlisema kikwete ni mtu wa mtandao na Edward Lowassa pia alikuwa ni mwanamtandao.vipi leo mnasema kikwete haipendi familia ya Lowassa
Back
Top Bottom