Recent content by Boss Man

  1. Boss Man

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Seashore? Asee Boss jioni hii na mm nilikuwa maeneo ya Ramada hapo
  2. Boss Man

    Vurugu Makumbusho muda mfupi uliopita

    Ila Kuna raia ni wabishi, mwanzoni wakati migambo wanakusanya vitu vya wamachinga Kuna jamaa mmoja alikuwa anarekodi Sasa Kuna askari akamuona wakataka wamkamate wakaja kama wagambo watano kumbeba wamuingize kwenye gari asee yule mshkaji alidinda hakuingia ndani halafu hakuna raia aliyekuwa...
  3. Boss Man

    Vurugu Makumbusho muda mfupi uliopita

    Dah hapo kwenye picha ndio nimefeli ila raia wamekinukisha sio poa asee, lazima kuna waliopata majeraha kwa wale askari
  4. Boss Man

    Vurugu Makumbusho muda mfupi uliopita

    Magari yamepasuliwa vioo sio poa, wataenda kuhadithiana
  5. Boss Man

    Vurugu Makumbusho muda mfupi uliopita

    Dah! Sijapata nafasi ya kuchukua picha halafu pia niliogopa kupoteza simu maana vurumai ilikuwa kubwa
  6. Boss Man

    Vurugu Makumbusho muda mfupi uliopita

    Raia wamekinukisha Makumbusho stendi baada ya wanamgambo kubeba Mali za Machinga. Wana mgambo pamoja na Police wamekimbia baada ya kurushiwa mawe na Raia
  7. Boss Man

    Natafuta chumba cha kuishi maeneo ya Msasani au Kinondoni

    Madalali mko wapi aisee! kuna raia anataka chumba Cha kuishi maeneo hayo niliyoyataja, na bajeti yake ni 70k, 80k, hadi 100k Mwenye nacho anicheki nimconnect na jamaa
  8. Boss Man

    Unapambana vipi na watu wasiokutakia mema hapa Duniani?

    Wewe una uhakika gani unamuomba Mungu wa kweli? Dini si umefanya kuletewa kama ulivyoletewa hizo nguo za mtumba ulizozivaa....Peleka ushuzi mbele
  9. Boss Man

    Unapambana vipi na watu wasiokutakia mema hapa Duniani?

    Shukrani sana, kweli kila kitu kina mwisho
  10. Boss Man

    Unapambana vipi na watu wasiokutakia mema hapa Duniani?

    Shukrani sana, nimependa ushauri wako
  11. Boss Man

    Unapambana vipi na watu wasiokutakia mema hapa Duniani?

    Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, miezi kama sita nyuma nilipoteza kazi yangu katika mazingira ya kutatanisha, Yani kosa nililofunguzwa nalo kazi kila mtu nikimuelezea anaona haimake sense. (Usitake kujua ni kosa gani nikieleza sana tunaweza kujuana humu) So baadhi ya watu walianza kuhisi kuna...
  12. Boss Man

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Dah kweli, Caryn dharau nyingi misimamo mikali, Mwanaume kama hana confidence hawezi kufika nae mbali
Back
Top Bottom