Vurugu Makumbusho muda mfupi uliopita

Vurugu Makumbusho muda mfupi uliopita

Raia wamekinukisha Makumbusho stendi baada ya wanamgambo kubeba Mali za Machinga.

Wana mgambo pamoja na Police wamekimbia baada ya kurushiwa mawe na Raia
Screenshot_20230825-182059_WhatsApp.jpg
 
Magari yamepasuliwa vioo sio poa, wataenda kuhadithiana
 
Ila Kuna raia ni wabishi, mwanzoni wakati migambo wanakusanya vitu vya wamachinga Kuna jamaa mmoja alikuwa anarekodi Sasa Kuna askari akamuona wakataka wamkamate wakaja kama wagambo watano kumbeba wamuingize kwenye gari asee yule mshkaji alidinda hakuingia ndani halafu hakuna raia aliyekuwa anamsaidia wote waliishia kunong'ona tu ila mwisho wa siku wakamshindwa wakamuachia

Walivyomaliza hapo si wakahamia kwa Machinga wengine, raia wakaona haiwezekani wakakinukisha, Nilichofeli ni kuchukua video lile tukio ila niliona Kuna raia wamerekodi
 
Raia wamekinukisha Makumbusho stendi baada ya wanamgambo kubeba Mali za Machinga.

Wana mgambo pamoja na Police wamekimbia baada ya kurushiwa mawe na Raia
Acha wapigwe kwanini wasumbue machinga wanatetea viongozi ambao kazi yao ni kulala na kuamka ikulu na kuuza bandari
 
Watanzania tungekuwa tunafanya hivi na kwenye mambo ya msingi yanayohusisha rasilimali za nchi, saa hizi kusingekuwa na viongozi kama hawa na nchi isingekuwa hapa ilipo, anyway ndio hivyo tena aliyeturoga alishakufa
 
Mtawasingizia sana watanzania lakini kwani Kenya wanakwenda je kamkunji? Bila Azimio la Umoja, kina Raila hamasa au kujitoa kwao?
 
Back
Top Bottom