Recent content by Boss Ibratv Online

  1. Boss Ibratv Online

    The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie?

    Ni jambo jema sana japo ingekuwa vyema zaidi mikataba ya ujenzi huo ikawekwa wazi na lingekuwa jambo zuri zaidi kama nchi ingekuwa na sera Nchi hii huendeshwa na mtawala atakavyo yeye sio sera ya nchi hivyo kama Mwandishi msomi ni vyema uandike kitu ambacho baadae hutojutia kuandika...
  2. Boss Ibratv Online

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Hongera sana chama hiki kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa sasa yule Mbunge Msukuma alosema halima wakifukuzwa atajua na kujifunza democracy iliyopo Chadema sasa nadhani ameiona na amejua kwa kutambua ushauri wangu kwake yeye kama kijana ajifunze kuwa chama chochote chenye watu wanaosimamia haki...
  3. Boss Ibratv Online

    Weekend na mwanaJF

    [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Mungu hawezi kukunyima vyote
  4. Boss Ibratv Online

    Weekend na mwanaJF

    Mungu anaweza kukupa kilema ila akupe furaha Ahimidiwe mungu wa madhabahu yenye mamlaka ya juu zaidi Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
  5. Boss Ibratv Online

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Waambieni lisu ni mwanasheria nguli sana
  6. Boss Ibratv Online

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Alafu hawa wanaotumwa na ccm bwana unakuwa kibaraka hadi utaolewa sasa lissu lissu ngj arudi bac akuoe
  7. Boss Ibratv Online

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Aliyetoa hii mada ametumwa but anachoongea kabudi ni kuitetea serekali kisaikolojia na ukizingatia yeye ndio mwanasheria mkuu wa serekali kama angekuwa mwanasheria kweli anaefata taaluma yake angekuwa mtu mzuri ila pale kwa lissu atasubiri sana pia kibatala ni mwanasheria nguli sana yani tuseme...
Back
Top Bottom