Mkuu mpeleke hospital akafanyiwe uchunguzi zaid wa kitaalam. Ila kuna wakat nilikuwa kijiji flan mkuranga nilikutana na mtu anayo changamoto ya kuzimia pindi anapokuwa na njaa nilipo wauliza watu wake wa karibu waliniambia kuwa ana tatzo la upungufu wa sukar mwilini dah nilishangaa maana ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.