Recent content by bosile

  1. bosile

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Ivi ni nn faida ya huyo mtu anaye sema mambo kama yanamuuma vile,,, kama vip aje ndani ili harakati zake na mazur anayojua anayo tuyaone. Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  2. bosile

    Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Na mwandishi wa ujumbe huo aseme wazi kwa nn watawala wanamwandama manji? Ameandika kwamba hisa zake za tigo na pia watawala wanajua kwa nn wanamwandama ebu tueleze izo sabab maana utakuwa unajua.. Wanasiasa watu wa hovyo kweli kweli. Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  3. bosile

    Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    Mbele huko kutamu ujinga hatutaki tena sisi watz Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  4. bosile

    Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

    Watanzania mna shida sana mpaka mkosolewe na majirani ndo mtajua mnakosea,, kwa maslah ya taifa hili bora magu afanye lolote lililo jema maana naona mlivaondika as if siyo watz,, na hayo ni maneno ya uchochezi kweli. Eti misaada nyambafu!!!!!!. Bora tufe njaaa na siyo kupelekwa pelekwa...
  5. bosile

    Putin tells Americans vote Trump or face nuclear war

    Umesahau kim, wa korea kasikazin
  6. bosile

    Rais Magufuli kesho wafute machozi vijana wanaosubiri ajira

    Ila kweli bhana hilo nalo ni wazo stahiki maana vijana sisi hasa tusio na ajira ni wavumilivu hatar, lakn ipo siku tuuu
  7. bosile

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Inawezekana kabisa, jarbu kufafanua
  8. bosile

    UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Wajinga nao hao Un wameshindwa mangap na leo wanataka kutugombanisha tena, ndo wao wamesababisha migogoro Libya mpaka leo na bado wanakir walifanya makosa kushambulia nchi hizo Na leo kwa upuuz wa baadhi ya watz wenye maslah binafsi mnataka kuleta choko choko. Rais wangu dr jpm nakuombea sana...
Back
Top Bottom