Recent content by Bosi kitambi Meneja

  1. B

    Kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele

    Unatufuta hela ile unazipata,unapata stroke au unakufa.Ishi NOW ndio experience nzuri,mimi nlishasema niwe na hela nisiwe na hela mbususu lazima nile,na haipingwi.Sasa wewe endelea kuiweka akili yako sehemu moja kama mnara eti tafuta hela....mbususu utazikuta kakwambia nani aisee...😇
  2. B

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Nanukuu""....Huwa tunaongea mara kadhaa kama mjuavyo kwa kijana mwenye akili timamu linapofika jambo lenye umuhimu wake huwa anapenda......kifupi hii ni chai maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu Anaoa,so either unamsifia tu bure huyo mdogo wako au umetunga hii stori.
  3. B

    Naombeni msaada wa mawazo mwanangu hapendi Kula

    Hiyo tabia alikuwa nayo mdogo wangu yani uji unamlisha anaweka mdomoni dakika kumi na anaweza kumeza ukimfurahisha au ukimtishia sana,Dada wa kazi alikuwa anambana pua ili ameze ila maza alivyomstukia alimgombeza kinoma,unakuta uji wa kunywa Dakika 10,yanatumika masaa hadi matano kumaliza,ila...
  4. B

    Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

    We nawe ni tako kama mat*ko wengine,yani umezaliwa juzi na kusoma vitabu 20 tu unaona ushajua kila kitu kuhusu NWO?...pasetiki
  5. B

    Ndugu zangu hawataki tukarabati nyumba ya wazazi wetu. Pesa iliyopo wanataka tugawane, naombe mawazo yenu

    Mwanga hapa ni huyo fuko anaishi hapo nyumbani,na msipoangalia anaweza hata waloga kabisa,yani wanasema tajiri wanaroho mbaya ila sio kama maskini,hasa wa fikra.
  6. B

    Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Yani nilivyoona bandiko moja humu Jf kuhusu stendi ya BK ndio nikasema wahaya bure kabisa,ila sasa ukiwakuta mikoa ya wenzao wanavyoinua makwapa utashangaa.Muhaya sahizi akijisifu mbele yangu nampa za uso
  7. B

    Watanzania wenye vipato vya chini wanao somesha English Mediums wanateseka hadi nawaonea huruma

    Halafu kuna ile kauli hasa mademu mnayo utaskia "mtoto wangu hawezi ishi Kama nlivyoishi" nitapambana...SAWA Ila sasa anayesema hivyo anauza uji mtaji 5k.
  8. B

    Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

    Hatukatai mkuu wewe ni mkongwe na maarufu wa kutunza screenshot za oldest websites,sasa nikuulize hiyo kazi yoote imekusaidia nn mpaka sasa hivi?Maana unavyojisifu utadhani imesaidia kukupa uwaziri wa teknolojia.
  9. B

    Wasanii mbalimbali watua Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM: Hivi, Wanaenda kwa lengo la Maendeleo au Wanatumika kwa Agenda za Kisiasa?

    Wasanii wetu ni Kama makondoo hapo naona mkono wa tivu ake,basi tu kwenda kujichukulia per diem ila hakuna lingine.Halafu Ay kama unasoma huu uzi punguza kitambi unaonekana mdingi wa makamo na kwa wasanii wa bongo fleva haipendezi.
  10. B

    Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

    Msanii akikwambia ni usiku pliz kabla ya kulala hakikisha umeangalia nje Kama ni kweli,maana ni wahuni tu hawa
  11. B

    Ninawezaje kumtambua mwanamke anayenipenda kwa dhati kutoka moyoni mwake?

    Watumie meseji wote kwa pamoja waambie umefukuzwa hiyo kazi yako ya ualimu,hivyo inabidi wakuvumilie wakati unasikilizia,kisha subiria wiki uone kama utaona hata unyoya.
  12. B

    Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

    😁mkuu wewe ni mtaalamu wa vilio?mbona kuna wanao lia kama wanacheka!?Wewe sema umeona jau manzi kulizwa wakati wako analala kama gogo,tusisahau pia show za kibabe huwa wanapiga yowe tu mbona.
  13. B

    Nahisi nina tatizo la kupenda kufanya mapenzi nahitaji njia ya kuacha ama kupunguza

    Manzi gani unazungumza mambo ya kunyanduana,huu mwandiko wakiume mtupu umetukosa fara wee
  14. B

    Nimetapeliwa kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha (Uwakala)

    Hapo muachie tu Mungu bwashee,ningekushauri uende saiba kraimu ila hawa wetu ni vibuyu,mwenyewe nliibiwa simu nkaenda ulizia nkaambiwa infinix nayo ni cm ya Ku trace nkabaki nina ulaumu umaskini
  15. B

    Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

    Nilijua tu hili kanisa ni wale wale,sasa kiko wapi?
Back
Top Bottom