Recent content by BORATUMBO

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni nani?

    Kwani kuna mtu anamdai?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sio mabasi yaendayo kasi bali litafutwe jina lingine

    Mimi hilo la kasi nakataa ila nasema ule ni mradi wa mabasi yapitayo katika njia maalum na vituo maalum bhaaas
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimepaliwa na kifupa cha samaki

    Simple kunywa maji ya Betti ya gari yasiyo tumika ndo Dawa mujarabu mi nilipona
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    kazi za ECT ile button imeandikwa POWER,ECT NA SNOW ukiswitch power maana yake gia zinachelewa kubadilika km manual ukiweka gia unavutaaa pedo wee afu gia ingine unakanyaga mafuta weee,ukiweka snow ni nchi za barafu gia box inaongeza nguvu kwenye gia ya aina moja inayokubali hali iliyokuwepo ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    S-shift na S+shft ni Kwenye manual mode gear unazikontroo mwenyewe mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Basi lauwa abiria wote 68 Vikindu likielekea Mtwara

    ------- nini
  7. B

    JamiiForums Tanzania Basi lauwa abiria wote 68 Vikindu likielekea Mtwara

    Ease he nini?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tatizo ni nchi mnazotaja kwenda Nk uk,us,Sweden Nk me walinipa permanent nilisema naenda Zimbabwe walichokaje maaana sio ulaya Wala Africa mashariki Shenzi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Mawasiliano ya Rais Kikwete amjulishe hili

    Atakujibu nimemuona amesoma kabla hajakujibu cm yake imeisha chaji ndo mama salma kamletea chaji ameweka kwenye umeme kwahiyo subiri
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Waziri wa Uchukuzi, ningefanya haya

    Mpuuzi kweli
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watani zangu wachaga, Je! hii ni kweli?

    Kweli ni utani ila huwa unapendeza sana huo wimbo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Watani zangu wachaga, Je! hii ni kweli?

    Wachaga mwisho wana wimbo wao maarufu kwenye maharusi sijui unaitwa aye aye wanashikana mikono kuzunguka wanaogopa kuibiana ha haa haaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Walevi tuwekewe sikukuu yetu kutokana na mchango tunaotoa

    Kwakuwa cc ndo walipa kodi wakuu wa nji hii hatuna mengi sana tanataka heshima hii,baa zisiwe na mwisho wa kufunga,tukianza kunywa asubuhi tusibugudhiwe,tukilewa kazini tupewe vitanda vya kupumzika,ukipata ajali ukiwa umelewa hamna kesi,ulinzi tena wa polisi baa zote ,turuhusiwe kuvuta sigara...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kazi ya button ya ect pwr

    Wadau hii botton inakaa karibu na gear liver ya kwenye GX100 maranyingi imeandikwa PWR NA SNOW nini kazi yake jamani
  15. B

    JamiiForums Tanzania TBL yaonyesha sononeko lake kuhusu kuongezewa kodi kinyemela

    tena wanywaji inatakiwa waheshimiwe kwenye mabasi maofisini nk.tena mda wa kufungua baa na kufunga ufutwe wajiachiee ndo waendesha nchi hao ebo! Na wavutaji wasibughudhiwe popote pale
Back
Top Bottom